WaBongo Kusherekea Saba Saba na CD " BONGO TAMBARARE" ya Ngoma Africa Band


WaBongo Kusherekea Saba Saba na CD " BONGO TAMBARARE"
ya Ngoma Africa Band,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Wakati tunapoelekea katika shamra shamra ya sikuu ya Saba Saba,
watanzania tunafurahia sikuu hii kwa kupata burudani ya raha ya nyimbo
mpya zilizopo katika CD "Bongo Tambarare" kutoka kwa bendi maarufu ya
muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani nchini Ujerumani,
CD hiyonyimbo tatu "Bongo Tambarare" , "Supu ya Mawe" na "Uhuru wa Habari"
Inasemekana imeshaanza kupiga hodi katika milango ya vituo mbali mbali vya redio
duniani na hapa nyumbani itasikika wakati wowote kuanzia sasa,hili watanzania wenye
Bongo Tambarare yawe wapate raha ya muziki.
CD hiyo yenye nyimbo tatu zilizojaa ujumbe wenye furaha na mafunzo kwa jamii,
kama vile "Supu ya Mawe" ni utunzi na wake kiongozi wa bendi hiyo
kamanda Ras Makunja wa FFU akiimba kwa kushirikiana na mpiga solo
afande Chris-B.
Watanzania tuipokee CD "Bongo Tambarare" na tufurahie Saba Saba kwa
kupata raha ya "Supu ya Mawe" kutoka kwa Kikosi kazi Ngoma Africa aka FFU.
unaweza kusikiliza pia at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment