KWAITO MPYAAA YA RUDBWOI BATOO.

Pata kuskiliza kwaito jipya la Rudbwoi Batoo toka pande za Chugatown,ikiwa ni noizmekah.com exclusive kwaajili ya party goers wote Tanzania,hii pia ni kwa hisani ya JamDropa Deejays,Dj Mido & Deejay P..Projects zetu kama kawaida zinaendelea,''nikiwa kama event organiser ningependa kutoa bigup kwa Hiphop City a.k.a ChugaTown kwa kusupport wasanii wao kila 2napoandaa jamsession pande zetu Hayo ni maneno ya organiser ambae hatukupata jina lake!!!Hii kwaito ni project ya kwanza katika JamDropa Riddim Vol 1,ambayo inasimamiwa kwa ukaribu zaidi na "Batoo Entertainment" ,Artist yeyote atayefeel kurecord kwenye this beat awasiliane nasi kupitia page yao ya "Batoo entertainment" katika facebook kisha watamtumia beat kwaajil ya kurecord!!Much respect kwa media zote including websites & Blogs,Jaaaaaah blesssss ''wanamaliza kwa kusema!!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment