PEGEON HOTEL KUFUNGUA BAR BABU KUBWA

Wapenzi wa burudani kula bata jijini Mwanza kwa sasa katika hotel ya Pegion hotel kumefunguliwa bar ya kisasa yenye kila hadhi ya huduma za kibaa counter safi,vinywaji vya kila aina pombe kali ,cocutel na bia.

Sehemu ya juu ya Bar ya PEGION HOTEL


pia kuna jiko safi kwa ajiri ya chakula supu,mchemsho nyama na nk.
wahudumu wenye weredi katika kazi hiyo wenye ukarimu wa hali ya juu kama mjanja basi hapo ndipo eneo la kila starehe.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment