ACHENI KUWAVIZIA WANANNCHI>>"WENJE"
-
IKIWA NI WAKATI KUJADILI HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI NA MAEBDELEO YA MAKAZI WENJE AMEILAUM SERIKALI KWA KUWAACHA WANANCHI HAD WANAJENGA NA MWISHOWE KUWABOMOLEA MAJENGO YAO""SELIKALI ILIKUWA WAPI WAKATI WANAJENGA??''WENJE ANAHOJI NA KUSEMA SELIKALI INAWAVIZIA WANANCHI WANAJENGA WAO NDO WANAKUJA KUBOMOA ''HUO SI UONGOZI BALI NI UVIZIAJI''MANENO YA MH. WENJE LEO ASUBUHI BUNGENI.
0 comments:
Post a Comment