
Nikiwa kama msanii wa bongo,Kwa sasa nimefunguka kwa nyimbo mpya na sio mwingine ni mi CHRISS WAMARYA.Natumai wadau wangu wengi wanataka kunijuwa na kufahamu japo histori ya maisha yangu.
CHRISS WAMARYA,Jina langu alisi ni IDDIFONCE CHRISTIAN.Ni mzaliwa wa Mtwara,nimeweza kufanikiwa kumaliza kidato cha nne. Nani msanii mwenye albam moja inayoitwa SINYORITA.
Napenda kusema namshukuru mungu kwa kuniwezesha kufanya nyimbo mpya nyingine tena.Ni kwa mara ya nne sasa kushusha ngoma ambazo ni kama SINYORITA,WIVU NA KILOMITA SITA,Ila sasa nimekuja kwa staili nyingine ambayo wengi wenu mtaipenda kwani huwa nafanya kama wadau wangu wanavyo penda.Napenda kuwambia wote wale wenye mema nami nimeachia nyimbo yangu itwayo TUTOKE nimetumia staili nzuri natumai itabamba sana,ila kwa ushauli kama unajuwa kucheza lazima utacheza tu.
TUTOKE - CHRISS WAMARYA ft DAYNA, ZILLA
Kwa maoni au ushauri ila ata show pia, mnaweza kunicheki kwa : 0718 777667 ua 0712 222244
0 comments:
Post a Comment