
Kikosi cha timu ya Taifa Stars, kinachodondoka leo uwanjani majira ya saa 6:00 pm majira ya Afrika mashariki kupimana nguvu na kikosi cha timu ya Taifa ya Afrika kusini leo katika Jiji la Dar es Salaam kwenye uwanja wa Taifa.Shime Watanzania tujitokeze kusapoti timu yetu kwani hii ni mechi muhimu kwetu.Mungu ibariki Taifa Stars katika uwanja wake wa nyumbani.
0 comments:
Post a Comment