SPIKA''AIGOMEA HOJA YA HAMAD RASHD,, ''WABUNGE WATOKA NNJE YA BUNGE KUTOKUBALIANA NA SPIKA WAO
-
KTK KIKAO CHA JANA BUNGEN HAMAD RASHDI MMBUNGE WA CUF ALITOA HOJA YA KUOMBA BUNGE LIAHIRISHWE ILI WABUNGE WA ZNZ NA WENGINE WASHIRIKI KTK MSIBA WA KITAIFA ULIOSABABISHWA NA KUZAMA KWA MELI YA ABILIA NA MIZIGO ILIYOKUWA IKIELEKEA ZNZ JANA,,AMBAPO SPIKA WA BUNGE MH. ANNE MAKINDA ALIIKATAA HOJA HIYO NA KUSABABISHA BAADHI YA WABUNGE BILAKUJALI ITIKADI ZAO KUTOKA NNJE YA UKUMBI WA BUNGE KUONYESHA KUTOKUBALIANA NA UAMUZI WA SPIKA,,HATA HIVYO BDAE SPIKA ALIKUBALI HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE BAADA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI DK. EMANUEL NNCHIMBI KUWASILISHA HOJA HIYO BUNGEN TENA.
0 comments:
Post a Comment