WABUNGE WALALAMIKIWA NA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU
-WABUNGE WAMELALAMIKIWA NA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAM KWA KUJALI MASLAHI YAO NA VYAMA VYAO NA PIA KUPOTEZA MUDA MWINGI KWA KUWASHUKURU MAWAZIRI AU FAMILIA ZAO BADALA YA KUTUMIA MUDA KWA KUZUNGUMZA NA KUJADILI MAMBO YA MSINGI KUHUSU WANANNCHI WAO,,WAMETAKIWA KUJARI MUDA NA KUZUNGUMZA MAMBO YAHUSUYO MAENDELEO NA SI MAMBO YAO NA VYAMA VYAO.
0 comments:
Post a Comment