KUTOKA ONE LOVE FX MWANZA KIPAJI KIPYA CHAIBUKA''

NI KIJANA ''SALMOE AMBAE KWA MUJIBU WA MAELEZO YAKE MWENYEWE ANASEMA ALISHAFANYA NGOMA KADHAA NA HAZIKUFANYA VIZURI SAANA WAKATI HUO,,,SASA ANANGOMA YAKE MPYA KABISA INAYOITWA ''I WANNA KNOW(SIKUELEWI),BEAT NA VOCAL ZOTE ZIKIFANYIKA KATIKA STUDIO MATATA YA ONE LOVE FX REC. PROD TIDDY,,''NI TRACK YENYE MAUDHUI YA MAPENZI NA NI RNB KUHUSU VIDEO,''''NIKO MBIONI NA HAPO KTK STUDIO NILIYO FANYA AUDIO HII PIA WANAFANYA VIDEO NIMESHAKAMILISHA KILA KITU NA NIKO MBIONI KUTENGENEZA VIDEO YA I WANNA KNOW'',,HAYO ALIYAZUNGUMZA SALMOE WAKAT AKIFANYA MAHOJIANO KUPITIA KISS FM YA JIJINI MZA.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment