HAWA NDO G-SAM NA BREEZE KUTOKA ''A TOWN.

Ni G-Sam akimshirikisha Breeze katika pini la Atown Stereo,Brand new hiphop joint from the north side of TZ,ikiwa ni product ya camp ya Machizi flan wenye maskani yao pande za Olmatejoo, huku vocals zikiwa zimesmamiwa pande za noizmekah.com."Tunafanya real so watu wetu ambao wapo real wanaelewa struggle yetu na kutupa mwongozo pamoja na support",hiphop ndo life letu we do it for the people'',jamaa wanamaliza kwa kusema hayoo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment