
Wimbo mpya wa Wakazi umeachiwa,wimbo Utakuwepo kwenye Mixtape Ya Ukweli Vol.3inayotoka rasmi January 24. Wimbo Unaitwa "The Most" na ametumia beat
ya J Cole ya Workout. Mixtape Itapatikana kwenye mtandao BURE, na
itabeba nyimbo 18 Jumla.

Wimbo mpya wa Wakazi umeachiwa,wimbo Utakuwepo kwenye Mixtape Ya Ukweli Vol.3
0 comments:
Post a Comment