


Huyu ni mwanadada Jamila Abdallah Aka ''Baby J'' toka Zanzibar kaachia wimbo unaoitwa BWASHEE na amemshirikisha AlikibaKazi imefanywa G-RECORDZ Producer ni KGT....Long tym Baby J hajafanya kazi G-REC lakini sasa shez Back 4Rel na Video itafanywa na Adam wa Visual Lab soon.
0 comments:
Post a Comment