
Tunapenda kuwajulisha Wadau wa Blog nchini na nje ya nchi, Blog mpya inayoitwa IT PROFESSIONAL ipo hewani sasa na kwa wale wanaotafuta kazi katika fani ya "INFORMATION TECHNOLOGY" basi wanaweza kutuma CV zao na zikawekwa hapo na ikawa rahisi kwa wewe kupata kazi, kwani Blog hii itafikisha CV zako kwa Waajiri.
KARIBUNI SANA.
BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment