THE MAKING OF KAMA CHANGU NITAPATA "MO RACKA"

Usiku huu hapa Irish Pub kwenye video mpya ya Mo Racka akiwa amemshirikisha Jux, wimbo unaitwa KAMA CHANGU NITAPATA ambao umetengenezwa katika studio ya B'Hits chini ya Producer Pancho.







Kulingana na "Kombinenga" iliyofanyika tangu kwenye Audio na Video wadau wa Bongo flava subirini kitu kikali kutoka kwa Sharobaro huyu aliyekaa kimya muda mrefu.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment