DOGO D v/s YOUNG KILLER



BAADA YA  DOGO  D  KUJITOA  KTK  KUNDI  ALILOKUWA  AKIFANYIA  HUKO SHUGHULI  ZAKE  ZA  KIMUZIKI,, SASA  ANAKUJA  NA  NGOMA  YAKE  MPYAAA AMBAYO  UTALIFAHAMU  JINA  LA  TRACK  HIYO  SIKU  CHACHE  ZIJAZOOO,,,,AKIFANYA  MAHOJIANO  NA  MOJA  KITUO  KIKUBWA CHA  RADIO  HAPA NNCHINI  YOUNG  KILLER  AMESEMA  KTK   WASANII  WA  TANZANIA ANAO WAONA  WANAWEZA  KUMSUMBUA  AKIZUBAA  NI  DOGO  D'' NA HILI  ALILIONA  SIKU  NYINGI  NA AMELITHIBITISHA  KTK  TRACK  HIYO  MPYA YA  DOGO  D   INAYOKUJA  AMABAYO  PIA  YEYE  AMESHIRIKISHWA  NA  DOGO  D.       
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment