KUTOKA BUNGENI MUDA HUU ''TUKIO LA ARUSHA LILIPANGWA'' ''MH.MWIGULU NNCHEMBA''

 
MH.MWIGULU  NNCHEMBA  MUDA HUU AMEMALIZA  KUSEMA  KAULI NZITONZITO BUNGENI ''TUKIO LA ARUSHA LILIPANGWA NA VIONGOZI WA CHADEMA''INASHANGAZA KUONA  KIONGOZI  WAKATI  MAITI  ZIMEZAGAA  CHINI  NA DAMU KUTAPAKAA  YEYE  KASIMAMA  PALEPALE  NA  AMESHIKA BOX  LA  PESA HILI  NI  JAMBO  LA  KUPANGA  WANANNCH  WAELEWE INAWEZEKANANJE  MTU  ACHUKUE  VIDEO  BILA  HATA  KUSHTUKA  WAKATI  BOMU  LINALIPUKA ''ETI  YY ANAENDELEA  KUCHUKUA  TU  VIDEO  KAMA  ANAREKODI  SEND OFF AU HARUSI'' HIYO  NI  KAULI  YA  YA  MH.MWIGULU  NNCHEMBA,,,,WAKATI  HAYA  YOTE  YAKIENDELEA  KUTAMKWA  TUKUMBUKE  KUWA  KUNA  WATU  WANALIA  KWA KUPOTEZA  NDUGU  ZAO  ''INABIDI  SERIKALI  IWE  MAKINI  NA  MAMBO  HAYA  NA  YASICHUKULIWE  KISIASA  WAKATI  WATU  WENGINE  WANALIA  KWA KUPOTEZA  WATOTO/WAZAZI   NDUGU  NA  JAMAA  ZAO  YAWE  NI  MAMBO  YA  KUSEMASEMA  TU  NA  HAYACHUNGUZWI  NA  KUPATA  MAJIBU  MAZURI,,  IFIKE  MAHALA   MAMBO  HAYA  YAPATE  MAJIBU  NA  WAHUSIKA  WACHUKULIWE  HATUA  KALI  SAANA  BILA  KUJALI  NI  NANI  KAHUSIKA,..
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment