ZITTO ATOA KAULI NZITO ''SERIKALI ACHANENI NA BAKWATA''





AKIMALIZIA  KUZUNGUMZA  BUNGENI  KAMA  MCHANGIAJI  WA MWISHO  KWA JIONI  YA  LEO  WAKATI    BUNGE  LIKIIJADILI  WIZARA  WA ULINZI   NA USALAMA INAYOONGOZWA  NA  WAZIRI   EMMANUEL  NNCHIMBI,,''ZITTO  KABWE  AMEONGEA MAMBO  AMBAYO  HAKUNA  ALIE  TEGEMEA,,,''ZITTO  AMEANZA KWA  KUWATAKA  WABUNGE  BILA  KUJALI  VYAMA  NA  ITIKADI  ZAO KUKUBALI  NA  KUCHUKUA  BAADHI  YA  LAWAMA  KUTOKANA  NA  WAO  KWA  AMA  KWA KUJUA  AU  KUTOKUJUA  WAMEKUWA  WAKIZITAMKA KAULI  MBAYA  NA  MWISHO  WA  SIKU  ZINALETA  UFA  MKUBWA  KWA  WANANNCHI  NA  TAIFA KWA  UJUMLA  ''KUNA WABUNGE  WAMEDIRIKI  KUSEMA  CUF  NI  CHAMA  CHA WAISLAM  NA  WENGINE  WAKASEMA  CHADEMA  NI  CHAMA   CHA  WAKRISTO''  HUYO  AKIWA  KAMA  KIONGOZI  AMBAE  WANANCH  WALIMWAMINI  ANAPOZUNGUMZA  MAMBO  KAMA  HAYOO  MATOKEO  YAKE  NI  KUWAGAWA  WANANNCHI  HIVYO  TABIA  HIYO NI  YA WANASIASA  WOOTE  NA  AKAWAOMBA  WAIACHE  MARA   MOJA,  WAKATI   WAKIANZA  KWA  KUKUBALI  NA  KUBEBA  LAWAMA  ZOTE  KWA PAMOJA  ZA  KUSABABISHA  UFA  KWA  TAIFA.''KWA  UPANDE  WA  SERIKALI   AMEITAKA  IACHANE   NA  KUJIINGIZA  KTK  MASWALA  YA  DINI  HASA  YA  WAISLAMU  KWA KUWA  WAISLAMU  WENGI   TANGU  MIAKA   NYUMA  SAANA  WAMEKUWA  WAKIILALAMIKIA  BAKWATA  AMBAYO  INAONEKANA KUTAMBULIWA NA SERKALI   NA  MALALAMIKO  MENGI YAMEKUWA  YAKITOLEWA NA  WAISLAM   JUU  YA  BAKWATA    INAYOONEKANA  KUWASEMEA WAISLAMU  KWA KILA JAMBO  NA KUFANYA  KAZI  NA SERIKALI  BASI  SERIKALI   IACHANE  NA  BAKWATA  WAJIENDESHE   KAMA  TAASISI  NYINGINE  NA  PIA  IZITAMBUE  TAASISI   HIZO  SIO  KILA  IKITAKA  KUONGEA  NA  WAISLAM   INAWAITA  BAKWATA  AMBAYO  INAFAHAMIKA   WAZI  INAVYOLALAMIKIWA  NA  WAISLAMU  WALIO  WENGI,,,,ZITTO  KAONGE  KWA HISIS  NA  KUONYESHA  KUKERWA  HASA  NA  KAULI   ZA  WABUNGE  AMBAZO  NI  HATARII   KWA  AMANII  YETU'''MUNGU  IBARIKI  TANZANIA''    
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment