''WAGONJWA WA KIAKILI WATOROKA HOSPITALINI KENYA''




POLISI WANAWATAFUTA WAGONJWA KARIBIA AROBAINI WALIOTOROKA KUTOKA HOSPITALI YA WATU WENYE MATATIZO YA KIAKILI, MJINI NAIROBI YA MATHARE. WAGONJWA HAO WANASEMEKANA WALIWASHINDA NGUVU WALINZI WAO NA KUTOROKA.
ZOGO HILO LILIZUKA KATIKA HOSPITALI YA MATHARE BAADA YA KUTOKEA HALI YA SINTOFAHAMU ILIYOWAHUSISHA WAFUNGWA AROBAINI WANAUME.
BAADHI YA VYOMBO VYA HABARI VINASEMA KUWA WAGONJWA HAO WALIKUWA WANATETA KUHUSU HALI MBAYA NA KIBINADAMU KATIKA HOSPITALI HIYO.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment