R.I.P MANGWAIR


ILITAKIWA WARUDI LEO TZ  LAKN  NGWEA AKIWA NA MSANII   M  TO THE P JANA SOUTH AFRICA KUTOKA KWA  MTU WA KARIBU YAO ===  WALITAKIWA KURUDI  DAR  LEO  LAKINI  WALIWAKUTA  HAWAJITAMBUI (NGWAIR NA MWENZAKE) KWENYE  CHUMBA WOTE WAWILI  BAADA YA KUZIDISHA   MADAWA YA KULEVYA NA  M  TO  THE  P  YUPO  HOSPITALI NA HALI YAKE SIO NZURI  NA MANGWEA AMEPOTEZA MAISHA. 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment