JAY DEE NA BONGE LA SHOW MWISHO WA MWEZI HUU''



KATIKA KIPINDI  CHA ''DIARY YA LADY JAY DEE CHA EATV'' JAY DEE AMESEMA ANATARAJIA   KUFANYA SHOW  KUBWA MAENEO AMBAYO HAJAYATAJA LKN PIA AMESEMA KUNA WATU NAO WAMEPANGA KUFANYA SHOW (Wale maadui zake) SIKU HIYO HIYO TENA KARIBU NA ENEO AMBALO YEYE PIA ATAANDAA SHOW,,KWA HARAKAHARAKA UKIFIKIRIA KWA UZURI NA KWA UNDANI HUU NI UCHOKOZI WA HAO WATU AMBAO WAMEJIPANGA KUMLOSTISHA LADY JAY DEE,,KAMA LADY JAY DEE ANA ANDAA SHOW YAKE BILA WAO KUHUSISHWA NA HAKUNA GHARAMA ZAO KUWA LABDA WALIMCHANGIA NA LABDA MAELEWANO YAKAPOTEA  BAADA YA HAPO,, ''BASI HUU NI UCHOKOZI NA INATAKIWA WADAU WA MUZIKI  WALIJUE HILI,,JAY DEE AMEJARIBU KUSEMA YA MOYONI  SASA NINI KIBAYA NA NINI  KUMFUATAFUATA,,,NINACHAMINI NI KUWA HII NI DALILI YA KUFELI KIMAWAZO HASA KWA KUMFUATA TENA MTOTO WA KIKE AMBAE ANAJARIBU KUFANYA MAMBO YAKE KWA FAIDA YAKE MWENYEWE,,NA KAMA TATIZO NI MANENO YAKE SI MKANUSHE TU AU KUNA TATIZO GANI??? AU NDO KUJIAMINISHA KUWA NINYI NI MIUNGU WA PILI SASA HAWEZI KUFANIKIWA MTU MPAKA NYINYI KAMA KWELI HAYO NDO MAWAZO MMESHINDWA KUPANGA VIZURI NA ''KUSHINDWA KUPANGA NI KUPANGA KUSHINDWA'' NA SASA WATANZANIA WAMEAMKA ''MUACHENI HUYU DADA NAYE AJITAFTIE,, TABIA YENU  HIYO HATA MWENYEZI MUNGU HAPENDI  TABIA HZO NI  TABIA MBAYA SAAAANA,,,''KAMA  HASEMI  KWELI  KANUSHENI,,,,,,, UKIMYA NI JIBU LA,,,,,,,,,,,, SEMENI  ACHENI KUMZINGUA JIDE  NYINYI  SIO MUNGU BWANA,,, SASA HATA WATU NAO WAMECHOKA NA TABIA YENU YA KUJIVISHA UMUNGU,,,,,,NA LADY JAY DEE  ''SONGA MBELE  TUKO  NYUMA  KWA YOOTE  MEMA  NA IPO SIKU UTAFANIKIWA'',,,HATA KAMA MWANZO WALIKUBEBA  NA SJUI  IKATOKEA NINI MKAKOROFISHANA  HAYO  NI  MAMBO  YALIYOPO  DUNIANI  KWA  KUWA UMESEMA  UKWELI  WAKO  NDIO  TOUBA YENYEWE  KWA  WALE  WALIOKUONA PENGINE  UNAWAACH A WAO  WAONEKANE  KAM A HAWAWEZI (au hawatoki)  KUMBE WANAKOSA NAFASI  NA  UNAPEWA WW  NI  POA TU KUPEWA WW NA ASPEWE  MWINGINE  KWA  KUWA HAPA DUNIANI  MAMBO  KADHAA YANAAMBATANA HASA KWENYE SANAA KUNA ''BAHATI,,''UWEZO KIKAZI,,'',,NA UWEZO KIPESA'' KWA MAANA HIYO KILA MTU ANAWEZA KUBEBWA KWA UWEZO WAKE WA PESA AU WA KAZI AU PENGINE HANA UWEZO WOWOTE ILA ANABAHATI  TU  KWA  HIYO  SISI  HATUJUI  WEWE  ULIKUWA  WAPI  KATIKA HIZO SIFA  NA MIMI  NAHISI  HILO  HALIMUHUSU  MTU  YEYOTE  NI MAMBO  YAKO AMBAYO  HUKUYASEMA  MAANA  YAKE  YANABAKI  KUWA  YAKO NA WAO LAKINI  KWA  HILI  UMELISEMA  KWA  UMMA  KWA HIYO  NI  LAKO  NA UMMA KWA  UJUMLA  SASA ''WAKUACHE  MIAKA  ELFU  KUMI'',,,,,''''NA KUPITIA  BLOG  HII TUTAKUSAPOT  KWA  SAANA  NA WATANZANIA  WOOTE  LADY JAY DEE INAWEZEKANA  HAKUHUSU  LAKNI  KUMBUKA  KUNA  MTU AMBAE  PENGINE ANATESEKA  AU  ALITESWA  AU  ATAKUJA KUTESWA BDAE NA HAOHAO JAMAA SASA  TUUNGANE NA ''JIDE'' ILI  KUKOMESHA HAYA NA TUNUNUE CD YAKE AMBAYO INATOKA MUDA C MREFU ,,,,,NAKUMBUKA NILIWA HATA  KUAMBIWA NA MSANII MMOJA KUWA HATA UKITOA ALBUM  YAKO  EWE  MSANII HAITAPOKELEWA NA ''MDOSI'' KAMA HAITAPIGWA KWAO'''UJIIIIGA TENA WA HALI JUU KABISA''''',,,,KUMBUKA KUTOKA  KIMUZIKI INAWEZEKANA  BILA WAO CHA MSINGI  NI  KUJIPANGA TU, ''SASA KAMA VP '''JIUNGE NAAAAAAAAAAAAAS.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment