ILIKUWA USIKU WA HIVI MAJUZI
DUDU BAYA AKIWA COUNTER YA KIWANJA KIMOJA CHA BURUDANI HAPA JIJINI
MWANZA,AMBAPO ALITOKEA MTU MMOJA AMBAE HAKUFAMIKA NI NANI LAKIN KWA KUWA
DUDU BAYA a.k.a (
AMFIBIA au
MAMBA) ALIKUWA NA WENYEJI WAKE NA WANAFAHAMIANA NA MTU HUYO AMBAE ILIFAHAMIKA BAADAE KUWA NI ASKARI MWENYE CHEO KIKUBWA JESHI LA POLISI HAPA
MWANZA, MARAFIKI HAO WA
DUDU BAYA WAKAANZA KUMTAMBULISHA KWA AFANDE HUYO ALIEKUJA HAPO COUNTER BAADA YA KUSIKIKA WAKIMTAMBULISHA
DUDU KWA
AFANDE HUYO KINYUME NA ILIVYOTARAJIWA ALIANZA KUTOA
MATUSI KWA
DUDU BAYA NA WATU WOOTE KUBAKI MIDOMO WAZI KWA KUWA HAKUNA ALIYETARAJIA KUSKIA AFANDE HUYO AMBAAYE WENGII WANAMFAHAMU AKITOA MATUSII MAZITO BILA SABABU KWA KUWA NDO ALIKUWA ANAFIKA ENEO HUSIKA ''HATA MIMI NILIBAKI NASHANGAA dudu ALISEMA KWA NIJA YA SIMU WAKATI ANAWASILIANA NA CHANZO CHETU CHA HABARI MBAYA ZAIDI MTU HUYO ALIENDELEA KUMTUKANA
DUDU BAYA JAMBO AMBALO LILIMGADHABISHA
MAMBA NA KUMMWAGIA KONYAGI MACHONI
AFANDE HUYO NA KONYAGI IKIWA INAWASHA MACHONI PA
AFANDE IKAMFANYA ASIONE VIZURI NDIPO
DUDU BAYA ALIPOANZA KUFANYA YAKE NA MUDA HUOHUO AKATOKOMEA KUSIKOJULIKANA NA HADI SASA INASADIKIWA KUWA JESHI LA POLIS LINAMTAFUTA NA HAJULIKANI ALIKO.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Anahatari sana huyu jamaa
ReplyDelete