MWANDISHI WA HABARI ''POLEA'' NA WAANDISHI WA HABARI (TRACK)


Ni mwandishi wa habari na anaandikia gazeti la Mwananchi, Anaitwa Festo Polea (Polea), Jumatatu ameachia wimbo wake wa ''Waandishi wa Habari''ili  uanze kuchezwa katika vyombo vya habari na sehemu nyingine mnazoona unastahili lakini pia muuweke katika mitandao yenu mbalimbali ya kijamii lengo likiwa kuitaka jamii kuwakubali waandishi wa habari duniani kote na pia waweze kuwapa sapoti pale wanapohitaji ili kumrahisishia mwandishi asiingie katika wakati mgumu wa kuweza kukutwa na vitu vibaya.
 ''Wimbo huu unazungumzia hali halisi ya maisha ya waandishi walio wengi''.'''HAYO NI MAELEZO KWA UFUPI,, YAKE POLEA POLEA
 

 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment