DEEJAY CON
-
AKITOKEA MALAWI ALIKOKUWA AKIFANYIA SHUGHULI ZAKE HADI MWANZA'' THIS IS LONGER EXPELEANCE DEEJAY ''CON'' AMBAE KWA SASA YUPO CLUB LIPS KILA IJUMAA NA JMOS ANAKISANUA PALE NA YEYE PAMOJA NA UONGOZ WA LIPS CLUB WANASEMA HII NI TYME YA MAPINDUZ YA KIBURUDAN JIJINI MWANZA,,,WAMEFANYA MABADILIKO MAKUBWA KTK CLUB YAO NA KUAJIRI DEEJAYS WENGINE PIA KUBADILI UONGOZ NDAN YA CLUB NA HOTEL ''ISAMILO LODGE'' KWA UJUMLA.
0 comments:
Post a Comment