ASUBUHI HII' ACP CHARLES ' KENYELA AZUNGUMZIA KIFO CHA ''KANUMBA'
-
KAMANDA WA POLISI MKOA WA KIPOLISI KINONDONI AMESEMA KUNA MTU MMOJA ANASHIKILIWA NA JESH LA POLIS MKOANI HAPO KUHUSIANA NA KIFO CHA STEVENE KANUMBA NA BAADA YA UCHUNGUZI KUKAMILKA ATAMTAJA KWA JINA,,''AMESEMA HUYO ANAESHIKILIWA NI ALIYEKUWA MPENZI WA KANUMBA AMBAE KABLA YA MAUT KUMKUTA ''(KANUMBA)'',,WALIKWAZANA NA KANUMAB NA KUKATOKEA UGOMVI WA KIMAPENZ (nyumbani kw kanumba) KATI YAKE NA KANUMBA BAADA YA KANUMBA KUMPIGA DADA HUYO KWA SABABU ZA KIMAPENZI(WIVU),,NDUGU WA KANUMBA NDIE ALIEGUNDUA KIFO CHA KANUMBA BAADA YA UKIMYA,, MUDA MFUPI TANGU KUONDOKA KWA DADA HUYO NYUMBANI KWA KANUMBA'''AMEELEZA A.C.P CHARLES KENYELA.
0 comments:
Post a Comment