Baada ya kimya cha muda mrefu sasa misoji Anakuja kivingine,,,''Akiongea nami kwa njia ya simu kutoka B'gamoyo amesema Muda c mrefu kuanzia sasa Ataachia Track yake mpya ambayo Amemshirikisha Joh makin,,,kwa wapenzi na mashabik wake kaen mkao wa kula.
0 comments:
Post a Comment