Ni siku mbili Baada ya Upasuaji wa jicho Ambapo kid Bwoy amefanyiwa Upasuaji huo hosptal ya rufaa Muhimbili dar,,,Jicho lilivia Damu baada ya Matatizo yaliyompata KID Mwaka jana..Kutokana na maelezo yake kwa sasa anaendelea vizuri hata hiyo Bandage Ilishatolewa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment