J4C & ROMA WADAI HAKI ZAO


J4C na ROMA wadai HAKI zao na si kivingine wala nini bali kimuziki na pande za noizmekah.com ndo jikoni mwa madai yote haya.This is a track about how much Tanzania needs change politically,socially,economically na sisi vijana kupitia sanaa yetu ya music cha zaidi tupeane support siku ya iddi mosi pande za stadium arusha kwenye Summer Jam ya "Mambo Jambo Radio"so this is an official release ya HAKI ZETU ''Mimi nimepita verse ya kwanza na ya tatu then Roma kapita verse ya kati katika hii track'' maneno yake J4C.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment