FFU walivyo fanya kweli International African Festival,Tubingen





FFU wa Ngoma Africa band walipofanya kweli katika maonyesho ya

International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi

11.080.2012, Pia maonyesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la

"IDA- International Diaspora Award" mshindi wa Tuzo hiyo ni Ngoma Africa band,

ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri

ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na kujizolea mamilioni ya washabiki

katika kila kona duniani.Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora Award" ambayo imekabidhiwa kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU,Wasikilize at www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment