
MTANGAZAJI MAARUFU SALAMA JABIR ANARUDI KIVINGINE NA KIPINDI KIPYAKABISA KINACHOITWA ‘MKASI’ KITAKACHOKUWA KIKIRUSHWA HEWANI KILA SIKUYA JUMATATU KUANZIA SAA
3:30 USIKU.KIPINDI HIKI KITAANZA KUONEKANA HEWANI KUPITIA
EAST AFRICA TV KUANZIATAREHE 14 MWEZI NOVEMBA 2011.KIPINDI HICHO KITAKUWA KIKIFANYIKIA SALOON NA KUHOJI WATU MBALI MBALIWENYE VIPAJI LUKUKI KUHUSIANA NA MAISHA YAO BINAFSI NA HII NI KWA MARAYA KWANZA KUFANYIKA KATIKA HISTORIA YA VIPINDI VYA
AFRIKA YA MASHARIKIKUTOKANA NA MTIRIRIKO MZIMA
WA KIPINDI ULIVYO NA MANDHARI YAKE.USIKOSE KUTAZAMA LUNINGA YAKO ILI KUPATA KILICHO BORA KUTOKA KWA SALAMA JABIR.NI ‘MKASI’ UTAKAOTIKISA
TANZANIA NA AFRIKA YA MASHARIKI KWA UJUMLA.KUMBUKA NI KILA JUMAATATU SAA TATU NA NUSU USIKU.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment