BAVONSON BENJAMIN NA ''BEAT AGENDA SHOW'' NDAN YA TBC.





Vj bavon amezaliza mkoani MARA mwaka 1983 mwezi wa saba ,alipata elimu yake ya msingi katika shule ya hill top iliyopo
jijini nairobi na kumalizia darasa la 8 shule ya sigh sabha iloyopo kisumu kenya1999,na elimu ya secondary alirejea tanzania na kujiunga na thaqaafa high school alisoma mpaka kidato cha tatu na kupata uhamisho wa kwenda uganda kujiunga na old kampla high school ,Mwaka 2003, alipata alipata elimu ya diploma ya utangazaji katika chuo cha IIBMS cha kampala nchini uganda.
VJ bavon amewahi kufanya kazi katika vituo mbalimbali vya redio ikiwamo star FM,inayomilikiwa na shirika la utangazaji uganda (UBC)kabla ya kufanya kazi tena na africa radio ya hapo kampala,pia VJ bavon aliwahi kufanya kazi na redio kadhaa za tanzania,hasa zile za mikoani,ikiwamo ile ya VICTORIA FM,yenye maskani yake musoma mkoani mara.
-Shirika la utangazaji tanzania TBC1 ,TBC FM,TBC TAIFA kwa sasa wanaandaa vipindi vyenye faida na mwendelezo kitu kinachofanya watazamaji washindwe kuhama ktk tv ya taifa
Miongoni mwa vipindi hivyo ni "BEAT AGENDA SHOW"(kinachoongozwa na bavon)-kipindi hiki kilianza kuruka mwishoni mwa mwaka 2010 kupitia TBC2 wakati kinaitwa NATIVE AGENDA.na kutokana na ubora wa vj bavon katika hicho kikahamishiwa TBC 1 na kufamika kama BEAT AGENDA SHOW,kipindi hiki kinaandaliwa na kutangazwa na bavon benjamin(VJ BAVON) VJ bavon aliamua kubuni kipindi hicho akiwa na lengo la kushirikiana na wasanii kufanya juhudi za kuitangaza sanaa ya ndani kwa kupitia televisheni ya taifa TBC 1,
haya ni maisha ukipata nafasi kufanya kazi katika televisheni ya taifa ni muhimu kukaa chini na kuumiza kichwa ili kutimiza kuwa mtangazaji mahiri
Lengo la VJ bavon ni kufanya mapinduzi katika sekta ya utangazaji nchini hasa kwa kuwateka watazamaji kutoka televisheni mbalimbali ili waangalie beat agenda show na vipindi vingine vinavyorushwa na TBC 1.BEAT AGENDA SHOW ni kipindi cha burudani""siku zote angalia TBC (ukweli na uhakika)kwa burudani na habari za uhakika.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment